duhh hii ni maajabu aisee kwanini anafuta?Kuna mdogo wangu ana diploma anataka afute ibaki certificate, amepambana sana akakutana na jamaa wakamwambia wanafuta kwa milioni mbili. Ndio yuko anazotafuta😭😭
Aendelee kutapeliwaKuna mdogo wangu ana diploma anataka afute ibaki certificate, amepambana sana akakutana na jamaa wakamwambia wanafuta kwa milioni mbili. Ndio yuko anazotafuta😭😭
Kwa sababu kwa ngazi yake kazi zinatoka ni za watu wenye certificate tu. Ni mambo ya serikali za mitaa.duhh hii ni maajabu aisee kwanini anafuta?
Hapo alishaumaliza mwendo aendelee kusubiri kazi za diploma yakeKwa sababu kwa ngazi yake kazi zinatoka ni za watu wenye certificate tu. Ni mambo ya serikali za mitaa.
Anhaa kumbe ata ukiambatanisha hawakupi kazi kwa sababu ya vyeti vyako vya mbele? Mbona kwenye account kama panaeditika tu?Kwa sababu kwa ngazi yake kazi zinatoka ni za watu wenye certificate tu. Ni mambo ya serikali za mitaa.
Yeah unakuwa overqualified 😆😆Anhaa kumbe ata ukiambatanisha hawakupi kazi kwa sababu ya vyeti vyako vya mbele? Mbona kwenye account kama panaeditika tu?
Labda wakufutie wenyewe, hapa wewe unazungumzia kuedit huyo anazungumzia kuadd ngaz ya elimuAnhaa kumbe ata ukiambatanisha hawakupi kazi kwa sababu ya vyeti vyako vya mbele? Mbona kwenye account kama panaeditika tu?
Duhh kazi zimekuw achache over qualifications zinatokutolea nje kwaio bora uangakie nafasi za chini tu hakuna namnaYeah unakuwa overqualified 😆😆
Sema siujui huo mfumo vizuri, naona wengi wanapambana sana kubadilisha.
Anhaa.. okee m/kiti nimekupataLabda wakufutie wenyewe, hapa wewe unazungumzia kuedit huyo anazungumzia kuadd ngaz ya elimu