Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

Kwa sababu kwa ngazi yake kazi zinatoka ni za watu wenye certificate tu. Ni mambo ya serikali za mitaa.
Anhaa kumbe ata ukiambatanisha hawakupi kazi kwa sababu ya vyeti vyako vya mbele? Mbona kwenye account kama panaeditika tu?
 
Yeah unakuwa overqualified πŸ˜†πŸ˜†
Sema siujui huo mfumo vizuri, naona wengi wanapambana sana kubadilisha.
 
Labda wakufutie wenyewe, hapa wewe unazungumzia kuedit huyo anazungumzia kuadd ngaz ya elimu
 
Yeah unakuwa overqualified πŸ˜†πŸ˜†
Sema siujui huo mfumo vizuri, naona wengi wanapambana sana kubadilisha.
Duhh kazi zimekuw achache over qualifications zinatokutolea nje kwaio bora uangakie nafasi za chini tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…