Jinsi ya kuondoa vumbi katika barabara zisizokuwa za lami

Jinsi ya kuondoa vumbi katika barabara zisizokuwa za lami

pembe

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,150
Reaction score
717
Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira?

Hapa msomi anaweza kupata PHD kwa kutupatia ufumbuzi wa tatizo hili.
 
Wamwage oil chafu kila baada ya mvua labda itasaidia , nimewaza tu kwa sauti
 
Wamwage oil chafu kila baada ya mvua labda itasaidia , nimewaza tu kwa sauti
Hiyo option haitasaidia maana baada ya muda mfupi tu hali itarudia vile vile. Halafu oil chafu utaipata wapi ya kutosha barabara zote za vumbi?
 
Nikajua wewe ndio umepata ufumbuzi kumbe.
 
Aisee..
Kumbe hili jina wabeba box wanatuita "Wala Vumbi" ndio limetoka kwenye hizi barabara...
 
Mh. Tunaomba lami?-Wapiga kura wa Chato

Kunyeni hayo mavi yenu yakikauka yasambazeni barabarani yatageuka kua lami-Jiwe akigombea ubunge enzi hizo
 
Back
Top Bottom