Jinsi ya Kuondoa weusi katikati ya mapaja na kwapa

Hafu hzo porn wanaume ndo huzipenda ili wafanye masturbation Sasa Mimi mwanamke Nazi weka ili iweje.
Hafu huyu analazimissha eti wasap mtu akutumie porn si lazima ujiunge nayo
Nakuunga mkono kuwa si watu wote wanaangalia porn. Mimi kwasasa nina muda mrefu sana siangalii na niliamua tu nisiangalie tena, na nina smartphone nimeweka Parental control, hivyo inablock website zote za pornography or sex

Mabinti wengi niliokuwa nao katika mahusiano walikuwa hawapendi kabisa kuangalia porn

Ila pia kumbuka wapo pia mabinti wanaoangalia kwa ajili ya kufanya musturbation sio Wanaume tu.

Tusigeneralise.
 
Kuangalia hizo mambo Zina madhara makubwa Sana watu hawajui inaua affections na mengineyo.
Ila wanawake wengi hatupendi hizo porn kivile labda wale wanaojichua wenyewe ndo wanazipenda hao
 
Anazingua huyo... Huyo wa above 35, si alishawahi kuwa below 35..!!?? Sasa je kama huo weusi aliupata wakati akiwa below 35, atasemaje ni kawaida kwa aliye above 35, wakati katoka nao huko below 35?
 
Msaada kwa anayejua: Jinsi ya kuondoa weusi//madoa yaliyotokana na upele kwenye mapaja.
Mwanamke ni mweupe
 
Hiyo ya juu nimeotundika bafuni. Nikiingia huwa inanitafakarisha sana mpaka nachelewaga kutoka bafuni[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Miss zomboko ni mtu kweli au!!! msukure sijui? jini? akirusha hewani imetoka hiyo hajibuga kitu chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…