Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
mbona kama unamlazimisha awe upande unaouwaza wewe , wewe kwanza kuchunguza viungo vya wanawake ili iweje utapata shida sana endelea kuchunguza visivyochunguzikaunamiliki simati foni theni unasema hauangalii porn? kwa taarifa yako site za porn zinatembelewa hadi na watumishi wa mungu itakua wewe? ahsante kwa kujaribu kutudanganya