Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hahahaha aiseee ..Fanya tuone lako kwanza
Si wapake rangi nyeupe tu.Mahitaji
Mchele nusu kikombe
Nyanya moja
Baking powder
Saga mchele upate unga ,changanya na vijiko viwili vya baking powder ponda nyanya nayo changanya huo mchanganyiko jipake kwenye kwapa acha dakika kumi na tano ,then anza kusugua na mswaki kama dakika kumi tumia siku saba kwapa litakuwa saafi unaweza hata kulia hapo msosi.
Huu utafiti wako ni wa kidaktari?Weusi kwapani na shingoni ni dalili ya ugonjwa wa Kisukari.
Upo wapi nje njihakikishie?Mi ninatumia ndimu / limao kusugua kwapa halafu baada ya kuoga na kukausha napaka mafuta ya nazi, matokeo ni maziri kwangu. Rangi ya kwapa na ngozi ya sehemu zingine za mwili zinafanana sasa pia hukata harufu ya kikwapa kabisaaaa
Hiyo ni dalili ya hatua ya kwanza ya ugonjwa wa Kisukari. Na hatua ya kwanza ya ugonjwa wa Kisukari dalili zake ni ngumu kuziona kwa sababu ukipima sukari ipo kawaida lakini kiwango cha insulin utakuta kipo juu.Huu utafiti wako ni wa kidaktari?
Manake katika dalili za ugonjwa wa kisukari hii haijapata kuwepo
Mi ninatumia ndimu / limao kusugua kwapa halafu baada ya kuoga na kukausha napaka mafuta ya nazi, matokeo ni maziri kwangu. Rangi ya kwapa na ngozi ya sehemu zingine za mwili zinafanana sasa pia hukata harufu ya kikwapa kabisaaaa
Hahahaha aiseee ..