Jinsi ya kuondoa weusi kwapani

Jinsi ya kuondoa weusi kwapani

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mahitaji
Mchele nusu kikombe
Nyanya moja
Baking powder

Saga mchele upate unga ,changanya na vijiko viwili vya baking powder ponda nyanya nayo changanya huo mchanganyiko jipake kwenye kwapa acha dakika kumi na tano ,then anza kusugua na mswaki kama dakika kumi tumia siku saba kwapa litakuwa saafi unaweza hata kulia hapo msosi.
 
Si wapake rangi nyeupe tu.
 
Inaweza kuwa ni dawa ya wale wenye harufu a.k.a kikwapa?
 
Mi ninatumia ndimu / limao kusugua kwapa halafu baada ya kuoga na kukausha napaka mafuta ya nazi, matokeo ni maziri kwangu. Rangi ya kwapa na ngozi ya sehemu zingine za mwili zinafanana sasa pia hukata harufu ya kikwapa kabisaaaa
Upo wapi nje njihakikishie?
 
Huu utafiti wako ni wa kidaktari?

Manake katika dalili za ugonjwa wa kisukari hii haijapata kuwepo
Hiyo ni dalili ya hatua ya kwanza ya ugonjwa wa Kisukari. Na hatua ya kwanza ya ugonjwa wa Kisukari dalili zake ni ngumu kuziona kwa sababu ukipima sukari ipo kawaida lakini kiwango cha insulin utakuta kipo juu.
 
Back
Top Bottom