tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Habari zenu ,
Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya urembo, tujuzeni tafadhali maana naona wengine tunapaka lakin hatufanani na hao ma super star.
asante