Jinsi ya kupaka "make up"kama za wakina lulu/wema

Haha haa

Utafika tu ukipatia inayokupenda na moisturiser ni muhimu kuipata itakayokufaa inakalisha makeup vizuri sana.
Hahaa unajua sijajua kinachohitajika kw mfano nilishawah kupambw kweny harus moja ila sikupendeza kwakwel maana nilikua wanjano [emoji28][emoji28][emoji28]
Yule dada alianz kutupaka manjano baad y hapo akafat poda sijui basi naona akamaliza[emoji34][emoji34][emoji34]ila wengine naona wanapakwa layer kama mbil hvi au tatu haaha i wish nijue ni nin wanaanza na kip kinafata yaani nikivijua nitanunua kimoja kimoja mpk nianze practise home hahaha
 
Chukua korosho funga mdomo kisha kamulia maji yake eneo la lips zako
Baada ya nusu saa utakuwa kama LULU
 
Hahaa unajua sijajua kinachohitajika kw mfano nilishawah kupambw kweny harus moja ila sikupendeza kwakwel maana nilikua wanjano [emoji28][emoji28][emoji28]
Yule dada alianz kutupaka manjano baad y hapo akafat poda sijui basi naona akamaliza[emoji34][emoji34][emoji34]ila wengine naona wanapakwa layer kama mbil hvi au tatu haaha i wish nijue ni nin wanaanza na kip kinafata yaani nikivijua nitanunua kimoja kimoja mpk nianze practise home hahaha

Nimecheka usiniambie ni ile manjano ya kung'arisha uso, inayopakwa kwa zaidi ya 15 haswa kwakuchanganywa na riwa then ikikauka ndio unaosha uso...

Kama ulipakwa ile inaitwa manjano kabisa hapa nchini ya kutumia usoni basi hiyo kali.

Huwa inatakiwa itumike labda asubuhi, au hasa mtu akitaka kung'aaa anaacha muda mrefu yaani masaa kabla ya kuiosha itoke au kirudia siku kabla la tukio analotaka kutokea.

Hiyo ukiipatia hadi shingoni pia weee ukaweka make up unatoka bombaaaaa haswa. Vizuri kuchanganya na riwa then na maji ya rose kuchanganyia.

Maji ya rose mazuri kwa uso, ila ya mtaani wanachanganya na maji. Vizuri kucheki pharmacy ya karibu nawe au maduka mengine kama wanayo yenyewe kabisa.
 
Hahah wee basi mwenzio tukapakwa manjano hyo kam dkk tano hiv tukaoshwa hapo hapo tukakandikw mapoda yaan nilikua mbaya shughul niliiona chungu looo
sitak tena
Nikipata shughul nyingne natak nijipake mwenyew
 
Paka mwenyewe changanya kama nikivyokuambia, ni vitu vya kuweka ngozi vizuri. Vingine ndio tunaina madukani pesa kubwa kumbe tunavyo wenyewe kwa raha yako mtu unajipendezesha.

Kwa make-up ni kuangalia ipi inaendana nawe, sio kila brand inaendana na mtu ni kujaribu.

Kama mimi MAC na Fashion Fair ndio my life...najijua na sipindishi. Na huwa namunua zenyewe sio za kupindishwa.

Ni kupangilia na unavyotaka usoni, kuna kama za 2 in 1 hizo nzuri kwa kila siku. Mtu ukiwa unataka kutoka then unajipanga kujipanga vinginevyo zaidi na kurembeka ila sio ile kama vile umeibukia shimoni.

Kuna pia accounts instagram wana mengi wanaonyesha ya kutumia kuyoka katika matunda na mboga kujiweka vizuri. Olive oil ni bomba pia. Jua ngozi ikiwa nzuri laini, inakuvutia hata wewe, basi hakuna kuporomoka kwa makeup inayoendana nawe. Hapo ni hata ukipaka makeup kidogo...ngozi kwanza.
 
Swadaktaaaaaa[emoji108][emoji108][emoji108]got u
 
Ngoja nirushe mbili, nilipoangalia kabla za wengine miaka hiyoo nilikuwa najiuliza kama kweli huo muda wote nitaupata. Ila nikiamyaga acha tu unaona cha mtoto.

Ila bado napenda kuangalia sababu napata kujua brand nzuri na nini kipya.

Utaona kuwa huwezi kutumia brand moja kwa kila kitu, ni kuona mtu ipi inakufaa na kukupendezesha.
 
Hahaa unajua sijajua kinachohitajika kw mfano nilishawah kupambw kweny harus moja ila sikupendeza kwakwel maana nilikua wanjano [emoji28][emoji28][emoji28]
Yule dada alianz kutupaka manjano baad y hapo akafat poda sijui basi naona akamaliza[emoji34][emoji34][emoji34]ila wengine naona wanapakwa layer kama mbil hvi au tatu haaha i wish nijue ni nin wanaanza na kip kinafata yaani nikivijua nitanunua kimoja kimoja mpk nianze practise home hahaha
liquid foundation then solid foundation kwisha
upload_2017-9-12_22-2-24.jpeg
upload_2017-9-12_22-2-58.jpeg
 
hizi mac zimetoka fake jaman nakerekeaaa
sio lazima mac zipo nyingi tu nzuri sana kariakoo .kuna moja nilipakwa juzi na kaka mmoja hivi mkongo ngoja nikipita saluni kwake jioni nitakutumia jina ni nzuri balaa halafu ni elf 30 tu
 
hebu nitumie jaman !nimenunua juzi kigoma jaman ni fake haikai fresh alafu very light !dadek hawa !
 
Na mm nataka niwe na mdomo mnene nikipaka lipstick nipendeze

Sent using Jamii Forums mobile app

mimi sijawa mjuzi sana kuap[ply lipstic !kuna kilayer wanakupaka pembezon mwa mdomo sijajua ni kipako gan kile ! inapendeza sana jaman ! sijapata tu musa wa kuingia u tube ! ngj nitafte pic ninavyosemea!
 
Lip liner kinaitwa
 
Back
Top Bottom