Asante my dia,Usiwe na wasi
Kama unaweza kuingia youtube kuna wanawake wengi haswa wa nchi za nje wanaonyesha step zote na vifaa na kila kitu...wanafundisha tena.
Utajionea na kujifunza kwa muda wako kwa chochote unachotaka uwe.
Usisahau pia picha unazoziona wanabadilisha na kusaidiwa na apps au canera360 kutoka walivyo huku wengine hata makeup ni ya kawaida tu. Ukiwaona uso kwa uso siku hiyo hiyo wamepiga picha walizorusha utataka kukimbia.
its true nilimuonga lulu Siku moja loohh!!Usiwe na wasi
Kama unaweza kuingia youtube kuna wanawake wengi haswa wa nchi za nje wanaonyesha step zote na vifaa na kila kitu...wanafundisha tena.
Utajionea na kujifunza kwa muda wako kwa chochote unachotaka uwe.
Usisahau pia picha unazoziona wanabadilisha na kusaidiwa na apps au canera360 kutoka walivyo huku wengine hata makeup ni ya kawaida tu. Ukiwaona uso kwa uso siku hiyo hiyo wamepiga picha walizorusha utataka kukimbia.
its true nilimuonga lulu Siku moja loohh!!
sio mzuri wa sifa jamani!!
Asante my dia,
Nimeshaangalia ila natamanig sana kujua vile vikorombwezo wanavyotumia maana unaweza kuta wamepaka layer kama tatu hivi hahahaha hyo madude ndio nayatak hayo haha
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]m mwenzenu sipend ku edit najiona kama nakua mbaaaNi kweli kabisa ukiwaona hata baada ya sekunde ya kuona picha imerushwa... ya mtandaoni wengi hawana pesa ya makeup za nguvu ni ile kuvizia kulipiwa au vya dezo. Hivyo siku zingine muhimu camera na ku edit kuwaweke katika ramani kudanganya.
Camera7600zile!Hahahahaha nahis pia wanavyopiga picha wanatumia taa
make up za mac nzuri sana hata kama ni mchina ukiwa na liquid foudation juu ukajazia na solid zege linakaa safi unauza sura mjini kwa raha zakoCamera7600zile!
ndo wanazopaka hizoo!make up za mac nzuri sana hata kama ni mchina ukiwa na liquid foudation juu ukajazia na solid zege linakaa safi unauza sura mjini kwa raha zako
ndo wanazopaka hizoo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]m mwenzenu sipend ku edit najiona kama nakua mbaaa
Ndionilishaziona hata kbl sijaandika uzi my dia
wanawake mnaenda too speed mbona sisi wala hatutaki vitu vingiiii
Hahahaaa nawe umekuwa Mr wa jina hilo, sawa.
Hapana yaan mara najiona napauka zaid,mara najiona nakua mwekundu, mara giza[emoji28][emoji28]