Jinsi ya kupaka "make up"kama za wakina lulu/wema

nina photo studio ya kisasa nafanyaga sana kazi na masaloon ya wadada wengi kama lavie.. etc

baada ya make up picha tunawapiga kwa proffessional camera.. tuna add na beauty dish.. hiyo ni beutifying equipment ambayo inamfanya mpigwaji picha aonekane mzuri zaidi kuliko uhalisia

hata kama huna make up naweza nikakupiga picha ukaonekana kama umepaka make up kali.. ni setting tu za camera
 
Kanunue shoga angu mie saloon hawanioni ten shoga looh nilipitia YouTube hakuna kinachonishinda asa hiv na vitendea kazi ninavyo raha tupu


hahaha na kweli u tube ni shule tosha ! nice
 
Kwa foundation kama ngozi yako ina acne scar au unapenda full coverage foundation jaribu Estée Lauder double wear foundation ni nzuri sana
 
Kwa foundation kama ngozi yako ina acne scar au unapenda full coverage foundation jaribu Estée Lauder double wear foundation ni nzuri sana


hii brand bongo hivi ipo kweli? ni ya mudaa nzuri sana kwa kutazama tu ! nitagoogle !i thnk kenya huwez kosa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…