Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

kuna kaprogram fulani kazuri sana kanaitwa ilivid; kukainstall unaenda kwanza kwenye site inaitwa getvid. ni kazuri sana si complicated kabisa. ukiwa hapo kwenye getvid katajitokeza unakaistall mengine computer itakuelekeza. mi natumia hako hadi disk inataka kujaa video sasa. unashusha tani yako!

Dah mkuu ilivid ni nzuri kwa kudownload youtube.....na ipo ver fast...hata IDM inasubiri......mi i lyk illivid
 
I guess zile za wasanii wa njee ambao zimepigwa chapa ya VEVO ndo zinazingua
Sababu mm video nyingine nachukua vizuri lkn nikija wimbo ka wa Nick Minaj unagoma

Mkuu ilivid inabeba vevo....mi video angu zte za mbele ni za VEVO na nmechukua via ilivid bila tatzo na kwaharaka sana
 
ebwana nashukuru kwa taarifa. cha ajabu ni kwamba nina anti-virus hapa na sijawahi kupata tatizo kabisa. indications kuwa pana tatizo ni kama zipi?

mkuu una ant-virus na sio ant malware.

malware ni vitu vingi zaidi ya virus inacontain
1. virusi
2.adware (mueka matangazo)
3. spyware (anaiba data na information zako)
4. worms (wanaofanya computer iwe slow)

wapo malware wengi sana lakini malware sio lazma awe kirusi anaweza kuwa kitu chengine.

mfano juzi kati kulikua na adware kwenye pc yangu kila nikiingia internet kuna tangazo lazma lije kabla sjaangalia video online. hapa unamtajirisha mtu bila wewe mwenyewe kujua
 
OK. Nimekupata Mnyalu. sasa nikuombe solution. What do I do. ni kweli computer inakuwa slow fulani hivi, otherwise hakuna tatizo. But what do I do?
 
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya

Mbona mimi na download kila siku bila shida...
 
OK. Nimekupata Mnyalu. sasa nikuombe solution. What do I do. ni kweli computer inakuwa slow fulani hivi, otherwise hakuna tatizo. But what do I do?

na haina maan kua kila computer ikiwa slow basi ni malware. kudeal na malware kwanza make sure antvirus yako haishii kuscan mafile tu bali iwe na protection mpaka kwenye source ambayo mafile yanaingilia mfano kama kwenye internet. japo sometime ni usumbufu ila inasaidia.

pia kuna ant malware kibao unaweza google (zenye review nzuri) zikakusaidia. na pia zipo ant malware ambazo nazo ni malware so uwe mwangalifu.
 
Da! shuhuli mbona. bas bana acha linalokuwa na liwe. kwanza hamna hata siri moja kwenye hili kebe! anaetaka kumalware acha ajichoteage anachotaka tu! taabu yote ya nini!
 
Mi natumia prgm inayoitwa Tubecather na inafanya vema
 
Kweli teknolojia imetutoa matongotongo,......yaani watu muda mwingi wanafikiria kudown loan
 
Mbona IDM siku zote inashusha fresh tu kamanda C6 au nawe unashindia yale madude yetu yapo hewani nini?

mie.idm ilikuwa inapiga fresh mpaka hapa majuzi ikaanza kuzingua, mshikaji wangu mmoja kaja kuniomba msaada same problem nikajua tayari google washabadili utaratibu wa youtube
 
Last edited by a moderator:
mie.idm ilikuwa inapiga fresh mpaka hapa majuzi ikaanza kuzingua, mshikaji wangu mmoja kaja kuniomba msaada same problem nikajua tayari google washabadili utaratibu wa youtube

Hamna lolote...ni PC yako tu ndio inaleta wenge.
 
thanks wadau, nimedownload idm mpya kama alivyosema chief-mkwawa now zinashuka tena napata option ya kuchagua quality ya video. thanks everyone
 
Last edited by a moderator:
wadau langu kubwa kuhusu IDM link inayotokea ya kudownload video ninayo ichagua na video inayokuwa downloaded ni tofauti tatizo ni nini? yaani video hiyo inajirudia rudia mara kibao ya jamaa moja hivi bonge limevaa vest na boxer nyeupe.. this is serious boring au ndo adware wenyewe hawa.
 
Back
Top Bottom