kuna kaprogram fulani kazuri sana kanaitwa ilivid; kukainstall unaenda kwanza kwenye site inaitwa getvid. ni kazuri sana si complicated kabisa. ukiwa hapo kwenye getvid katajitokeza unakaistall mengine computer itakuelekeza. mi natumia hako hadi disk inataka kujaa video sasa. unashusha tani yako!
I guess zile za wasanii wa njee ambao zimepigwa chapa ya VEVO ndo zinazingua
Sababu mm video nyingine nachukua vizuri lkn nikija wimbo ka wa Nick Minaj unagoma
Mkuu ilivid inabeba vevo....mi video angu zte za mbele ni za VEVO na nmechukua via ilivid bila tatzo na kwaharaka sana
ebwana nashukuru kwa taarifa. cha ajabu ni kwamba nina anti-virus hapa na sijawahi kupata tatizo kabisa. indications kuwa pana tatizo ni kama zipi?
mkuu una ant-virus na sio ant malware.
malware ni vitu vingi zaidi ya virus inacontain
1. virusi
2.adware (mueka matangazo)
3. spyware (anaiba data na information zako)
4. worms (wanaofanya computer iwe slow)
wapo malware wengi sana lakini malware sio lazma awe kirusi anaweza kuwa kitu chengine.
mfano juzi kati kulikua na adware kwenye pc yangu kila nikiingia internet kuna tangazo lazma lije kabla sjaangalia video online. hapa unamtajirisha mtu bila wewe mwenyewe kujua
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
OK. Nimekupata Mnyalu. sasa nikuombe solution. What do I do. ni kweli computer inakuwa slow fulani hivi, otherwise hakuna tatizo. But what do I do?
na haina maan kua kila computer ikiwa slow basi ni malware. kudeal na malware kwanza make sure antvirus yako haishii kuscan mafile tu bali iwe na protection mpaka kwenye source ambayo mafile yanaingilia mfano kama kwenye internet. japo sometime ni usumbufu ila inasaidia.
pia kuna ant malware kibao unaweza google (zenye review nzuri) zikakusaidia. na pia zipo ant malware ambazo nazo ni malware so uwe mwangalifu.
Mbona mimi na download kila siku bila shida...
unatumia nini
unatumia nini
Mbona IDM siku zote inashusha fresh tu kamanda C6 au nawe unashindia yale madude yetu yapo hewani nini?
mie.idm ilikuwa inapiga fresh mpaka hapa majuzi ikaanza kuzingua, mshikaji wangu mmoja kaja kuniomba msaada same problem nikajua tayari google washabadili utaratibu wa youtube
Ilivid huwa naiogopa
Lkn ntaijaribu
update idm install version mpya. mi idm yangu iligoma pia nkaenda kat nkainstall latest (ipo homepage skumbuki version) sasa hivo mambo fresh tu