Mkuu hii kitu ipo pale pale nimeinstall ad blocker kwenye fire fox na Chrome ila yule jamaa bado ana appear, do u have any other solution?
Habarini za saa hizi. Nimeistall YTD kwenye computer flan yenye window xp spack2,cha ajabu ni kwamba haiwezi kudowload inaandika fail. Lkn me ndio na tumia kwenye machine yangu yenye win 7 ultimate. Tatizo nn. Msaada tafadhali.
[URL="http://www.eagleget.com/"]EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader and more[/URL]
[url=http://internetdownloadmanager.com/download.html]Download Internet Download Manager: high speed download accelerator[/url]
Wewe nawe unataka kuwarudisha watu ktk ujima. Mbona cracked idm zipo za kumwaga!