Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wadau naomba nisaidieni Application ambayo naweza itumia ku download video kutoka youtube na site nyinginezo katika android. Msaada tafadhalini wadau wa jf.
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...

Nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download..

Zamani nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.
 

Unatumia ipi?
 

Attachments

  • 1417719693062.jpg
    48.1 KB · Views: 951
  • 1417719720210.jpg
    48.3 KB · Views: 850
  • 1417719770704.jpg
    47.9 KB · Views: 856
  • 1417719793893.jpg
    48.8 KB · Views: 828
Ata mimi hua inanitokea mpaka mda mwingine naboreka, niliazimisha sana inakubali, yaani ikikataa, naaza upya zoezi,inakubali,ila haitabiliki.
 

Tumia FREEMAKE VIDEO DOWNLOADER
 
mimi nimedownload tubemate,internet downloader manager na freemake downloader sasa naomba nielekezwa hatua kwa hatua nitawezaje kudownload video zilizopo youtube nitashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…