Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wadau naomba nisaidieni Application ambayo naweza itumia ku download video kutoka youtube na site nyinginezo katika android. Msaada tafadhalini wadau wa jf.
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...

Nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download..

Zamani nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua.

Nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.

Unatumia ipi?
 

Attachments

  • 1417719693062.jpg
    1417719693062.jpg
    48.1 KB · Views: 951
  • 1417719720210.jpg
    1417719720210.jpg
    48.3 KB · Views: 850
  • 1417719770704.jpg
    1417719770704.jpg
    47.9 KB · Views: 856
  • 1417719793893.jpg
    1417719793893.jpg
    48.8 KB · Views: 828
Ata mimi hua inanitokea mpaka mda mwingine naboreka, niliazimisha sana inakubali, yaani ikikataa, naaza upya zoezi,inakubali,ila haitabiliki.
 
Wapendwa naomba msaada wa youtube downloader yangu inagoma kabisa kudownload clips kutoka kwenye youtube, nimejaribu kuiupdate lkn still inasumbua...nikicopy na kupaste URL ya video husika inaishia kunambia 'no video to download' pale nnapocommand download......

Zaman nlikua natumia same procedures na ilikua inafanya kazi fresh.

Tumia FREEMAKE VIDEO DOWNLOADER
 
mimi nimedownload tubemate,internet downloader manager na freemake downloader sasa naomba nielekezwa hatua kwa hatua nitawezaje kudownload video zilizopo youtube nitashukuru sana
 
Back
Top Bottom