Michael MC
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 227
- 191
Mkuu Michael MC Si bora ukaweka link hii hapa.Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!cha kufanya nenda ktk link ya youTube search video unayoitaka ukisha ipata play au bila kuiplay chukua link ya video hiyo i.e http://www.youTube.com/link_ya_video_unayo_itaka
kisha fuTa http://www. Afu andika ss yani iwe hv
ssyouTube.com/link_ya_video_unayoitaka
hapo uTapata links za kudownload hyo videos kwa ukubwa unaouTAka hata wa compuTer au simu ni poa 2mia hyo
cha kufanya nenda ktk link ya youTube search video unayoitaka ukisha ipata play au bila kuiplay chukua link ya video hiyo i.e http://www.youTube.com/link_ya_video_unayo_itaka
kisha fuTa http://www. Afu andika ss yani iwe hv
ssyouTube.com/link_ya_video_unayoitaka
hapo uTapata links za kudownload hyo videos kwa ukubwa unaouTAka hata wa compuTer au simu ni poa 2mia hyo
Nzuriiiii