Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

cha kufanya nenda ktk link ya youTube search video unayoitaka ukisha ipata play au bila kuiplay chukua link ya video hiyo i.e http://www.youTube.com/link_ya_video_unayo_itaka
kisha fuTa http://www. Afu andika ss yani iwe hv
ssyouTube.com/link_ya_video_unayoitaka
hapo uTapata links za kudownload hyo videos kwa ukubwa unaouTAka hata wa compuTer au simu ni poa 2mia hyo
Mkuu Michael MC Si bora ukaweka link hii hapa.Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!

ikisha funguwa uweke link ya youube nyimbo ya video unayo taka ku dowload Angalia hiyo Video hapo chini.

Last edited by a moderator:
cha kufanya nenda ktk link ya youTube search video unayoitaka ukisha ipata play au bila kuiplay chukua link ya video hiyo i.e http://www.youTube.com/link_ya_video_unayo_itaka
kisha fuTa http://www. Afu andika ss yani iwe hv
ssyouTube.com/link_ya_video_unayoitaka
hapo uTapata links za kudownload hyo videos kwa ukubwa unaouTAka hata wa compuTer au simu ni poa 2mia hyo

SEARCH BEFORE POST......

snipa
 
Mimi nina ki-mchina na nadownload vizuri tu, fanya hv;

1.Ingia, Wapistan.info - Free Downloads

2.Chagua youtube downloader

3.Andika video unayotaka kisha i-search

4.Zitakuja video zote zinazohusiana na searching yako, chagua moja

5.Chagua mp4 au 3gp kisha download
 
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa http://www. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
 
Ngoja nikajaribu kabla ya kushukuru

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom