Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Mbona kwangu sioni Sehemu ya
Kuandika hizo herufi.
 

Attachments

  • 1421723862560.jpg
    48.7 KB · Views: 420

Mkuu nimechemka.
 
Hii ipo humu kitambo ktk jukwaa la science and technology..but asante kwa kuwajuza ambao hawakuwa wameona.
 
Mkuu ina download vizuri, but mbona huwezi kusevu ktk computer?
 
ila auwezi.ku download video youtube bila kutumia software maana ata izo browser ni doftware nazo upo
 
Je inafanya kazi kwenye pc tu.mbona kwenye smart phone inanigomea
 
Asee kwa wale wa smart phone downloa kitu inaitwa tubemate downloader ni kiboke kwa kushusha video utakayo
 
Pia unaweza download video za YouTube kwa kupitia website ya www.savefrom.net
Ukishafungua YouTube unachotakiwa ni kucopy link na kupaste kwenye savefrom.net
Kisha itakuletea option mbalimbali Kama Mp4 FLV na utaweza download
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…