Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye simu hiyo kitu haikubali.
Mbona kwangu sioni Sehemu ya
Kuandika hizo herufi.
unatumia simu aina gani?
tumia operamin kuingia youtube
KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple
1. Ingia www.youtube.com
2.tafta video unayoitaka then iplay
3.akat inaplay nenda juu kweny Url pale futa http://www. then weka ss
mfanao. http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
BOFYA HAPA KUHAMU ZAIDI ******HAPA*******
why ingekua 3 weeks back?
Hii ipo humu kitambo ktk jukwaa la science and technology..but asante kwa kuwajuza ambao hawakuwa wameona.
savefrom.net ndiyo natumiaga naiFeel sana.Pia unaweza download video za YouTube kwa kupitia website ya Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!
Ukishafungua YouTube unachotakiwa ni kucopy link na kupaste kwenye savefrom.net
Kisha itakuletea option mbalimbali Kama Mp4 FLV na utaweza download