the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 889
pia unaweza kudownload kupitia genyoutubeKUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple
1. Ingia www.youtube.com
2.Tafta video unayoitaka then iplay
3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss
Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter
4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!
5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
TubeMate YouTube Downloader 2.2.9 APK Download by Devian Studio - APKMirrorMwenye kufaham program nzuli ya kudownload video youtube anisaidie
kwanza nenda setting na uiruhusu simu yako kuistall app from other site, sababu hii haipo google store au apple Store, then fungua browser yako uingie hapa.Mwenye kufaham program nzuli ya kudownload video youtube anisaidie
nyuma ya youtube, mfano https://ssyoutube....namna ya kudownload without Downloader
1.play hiyo video yako unayotaka kudownload
2. Ikianza ku play, add 'ss' mbele ya neno 'youtube' then run
3. Utachagua format ya kusavia video yako.
Enjoy..!
idmMwenye kufaham program nzuli ya kudownload video youtube anisaidie