Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE FATA STEPS HIZI ni verry simple

1. Ingia www.youtube.com

2.Tafta video unayoitaka then iplay

3.Wakat inaplay nenda juu kwenye URL pale futa Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH. then weka ss

Mfanao: http://www.youtube.com/obbymovies/szrtuy isomekessyoutube.com/obbymovies/szrtuy then enter

4.Iache iload itafunguka then angalia upande wako wa kulia utakuta fomarts mbalimbali mp4. 3gp na nyingine nyiingi click unayotaka!!

5 Itaanza kudownload THAT Z ALL.. kama hujaelewa uliza
pia unaweza kudownload kupitia genyoutube
 
Mwenye kufaham program nzuli ya kudownload video youtube anisaidie
kwanza nenda setting na uiruhusu simu yako kuistall app from other site, sababu hii haipo google store au apple Store, then fungua browser yako uingie hapa.

SnapTube - Video Downloader, Download YouTube, Facebook Free

Hiyo ndio best video and audio downloder kutoka site tofauti tofauti kama vimeo, youtube, Instagram, soundcloud na nyinginezo huto jutia kuitumia trust me.
 
Mkuu damon dash, kama unatumia computer tafuta browser inaitwa torch, na kama unatumia simu ya android tafuta stellar browser, ila haipo play store, itafute kwenye google na itabidi uhakikishe unaruhusu kuinstall from unknown sources kwa muda ili uweze kuinstall stellar.
 
Chagua video uitakayo kwny YouTube kisha add "10" ktk address ya YouTube km hv baada ya "www.youtube.com/......../....." we Anza na "10youtube.com/..... itakuja new page ambayo ina option ya kudownload
 
Habar wana JF, n

Naombeni msaada jinsi ya kudownload video YouTube, na kudownload movie kwenye laptop mfano serious natumia min?
 
Back
Top Bottom