Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

hii software ina crash kila saa... yaani una download unashangaa imejifunga
 
Haijawahi kucrash kwangu, naitumia kwenye windows 8 na 10... Vipi kompyuta unayotumia? Ni software hii tu inacrash au kuna nyingine pia? Labda tuanze hapo, huenda kuna kitu kinasababisha inacrash.
 
mimi natumia window 8.1!! pc ya dell vostro... hii shida nimeiona pia kwenye ava find... inafika mahali ina crash... hii downloader ndo kabisaaaa yani nikiwa na download vitu vingi inafail na kujifunga kabisa!!
 
nafikiri jaribu kufanya windows update kwanza then disk cleaning, ni kweli kuna baadhi ya WATU wana matatizo na windows 8.1.Njia nyingine Ya kufanya ni kujaribu kuwa na software Ya kufanya "cleaning" kuna baadhi ya log files kwenye windows disk part (mfano; local disk C; kama ndiyo hutumia).

Kitu kingine angalia uwezo wa pc na windows unayotumia, pia nafasi iliyobaki (free space)

Zipo softwares kama wise care, tune up utilities na cleaner.Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…