Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Download/tumia application kama *Tubemate au *Videorder, zote hizo zinakupa option ya ku-download videos kutoka kwenye sites kama youtube na kwingine...

Mie nataka tu kujua kwanini huyo jamaa kakataa kukuelekeza?
 
Habari wana jf.
Naomba kuelekezwa namna ya kupakua video za youtube bila kukopi URL yake.Nimeona kwenye PC ya mtu akifungua video ya youtube zinatokea alama (mishale) za kudownload video husika juu-kulia kwa page ya PC.Akitaka kudownload alikua anaclick mshale huo na video hupakuliwa kwa kasi.Naomba kuelekezwa maana jamaa kakataa kunielekeza namna ya kuweka option ya kudownload.
Huyo mtu mwenye hiyo PC ulikoona hukumuuliza? Au ni bosi?
 
Download/tumia application kama *Tubemate au *Videorder, zote hizo zinakupa option ya ku-download videos kutoka kwenye sites kama youtube na kwingine...

Mie nataka tu kujua kwanini huyo jamaa kakataa kukuelekeza?
ahsante ndugu
 
Kwa watumiaji wa ios inakuwaje?
[HASHTAG]#chiefmkwawa[/HASHTAG]
 
usiteseke ww mkuu tumia Baidu browser na ndo hiyo alikuwa anaitumia huyo jamaa.
 
Jamani app ipi naweza kutumia katika simu yangu ili kuweza kudownload video za youtube.
 
Back
Top Bottom