baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 67
Download application ya torch aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks mkuuKwa PC jaribu kutumia pragram ya IDM iko poa sana!
-Nyerere-
Tubemate ume download wapi?Mimi natumia program inaitwa TUBEMATE nimedownload google
Search hii web uptodownload kupitia Google then hii web itakupa apps yoyote ambayo unaitaka ukiisearch hatakama haipo playstore humu utaipata hata hiyo tubemate utaipata original version yakeTubemate ume download wapi?
ahsante kwa ushauriusiteseke ww mkuu tumia Baidu browser na ndo hiyo alikuwa anaitumia huyo jamaa.
Unataka isomekaje?mods naomba mnisaidie kunirekebishia tittle
Mkuu nilitaka ya kutoka apple store natumia MacboookApp yakueleweka na easy to use ni vidmate vut haiko kwa play store ni kwenye google.
Hizi zote nimezitafuta hazipo apple store mkuu.1.Snaptube
2.tubemate
Hapo sjajua mkuuMkuu nilitaka ya kutoka apple store natumia Macboook
shukrani mkuu ngoja nijaribu ntakupeni mrejeshoDownload kwa Ku add ss baada ya kufuta www. Yaani.. Ukitaka kuangalia video, ile link ya video I edit kwa kufuta http.www. na ianze na ssyoutube.com/......... Desh desh no mundekezo wa hyo link ya kuiangalia video husika
Mkuu nimejaribu, ila majibu nayopewa ni haya "this site cant be reached" sasa sielewi tatizo liko wapi?Download kwa Ku add ss baada ya kufuta www. Yaani.. Ukitaka kuangalia video, ile link ya video I edit kwa kufuta http.www. na ianze na ssyoutube.com/......... Desh desh no mundekezo wa hyo link ya kuiangalia video husika