MALISA92
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 148
- 57
Ndg mtoa mada kama sijakwelewa vzuri sana ila nitakuelekeza kwa hivi...
kama unamaanisha kuwa unatumia Macbook (Yaani hapa unamaanisha Laptop) basi click hii link Download YouTubeDownload.dmg. na uta download software ya kuweza kudownload video za youtube just with few clicks like to copy your video URL and to paste it on the application. Cha muhimu Macbook yako iwe na OS ya kuanzia 10.8
kama unatumia simu ngoja wadau watakupa mchakato.