sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Download kirahisi kwa kuweka neno ss baada tu ya www....Wakuu mimi shida yangu naomba mtu anayefahamu programme inayoweza kudownload youtube video kwenye kompiuta yangu anisaidie. Mwanzo nilikuwa natumia ummy video downloader lakini imegoma kupakua video kama mnayoona kitufe cha dowload kimefifia:
View attachment 466893
Yaani fungua video unayoitaka kwenye youtube halafu pale ju kwenye adress bar kwenye link ya youtube ongeza hizo herufi ss mara tu baada ya www dot itakupa option ya kudownload na pia ukitaka itakupa option ya kuinstall extension ili uwe unadownload kwenye youtube site bila kuweka hizo ss