Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Download kirahisi kwa kuweka neno ss baada tu ya www....
Yaani fungua video unayoitaka kwenye youtube halafu pale ju kwenye adress bar kwenye link ya youtube ongeza hizo herufi ss mara tu baada ya www dot itakupa option ya kudownload na pia ukitaka itakupa option ya kuinstall extension ili uwe unadownload kwenye youtube site bila kuweka hizo ss
 
Asante sana mkuu. Wabejha sana Nkhoi!
 
Wakati una search video anza na SS. Mfano
SSdiamond platnumz-nana.itakupeleka moja kwa moja sehemu ya kudownload
 
Wana jf nisaidieni how to download videos from you tube kwa android.
Plzz.. Ninahangaika na hilo jaman
Kwenye cm,,ingia google andika TUBEMATE, then itakupa muongozo wa kudownload hyo program,,,,ila ukiingia playstore ukisearch huikuti,so tumia google kusearch
 
Naomba wanajamiiforum mnijulishe internet software ya ku-download youtube.
Nitashukuru sana mnipatie easy to use
 
Wadau nauliza ni app gani nzuri au ambayo ipo updated kwa sasa kwa ajili ya kudownload videos za YouTube.Zamani nilikua natumia TubeMate lakini kwa sasa haipatikani tena kwenye Playstore wala Appstore.
Nenda kwenye website yao utapata option ya kudownload hiyo tubemate au videoder. Hizi ziko poa sana.
 
Wadau nauliza ni app gani nzuri au ambayo ipo updated kwa sasa kwa ajili ya kudownload videos za YouTube.Zamani nilikua natumia TubeMate lakini kwa sasa haipatikani tena kwenye Playstore wala Appstore.
Videoder iko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…