Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wadau nauliza ni app gani nzuri au ambayo ipo updated kwa sasa kwa ajili ya kudownload videos za YouTube.Zamani nilikua natumia TubeMate lakini kwa sasa haipatikani tena kwenye Playstore wala Appstore.
Tubemate inapatikana kwenye uc browser.
 
Lkn unapoipakua inakuletea onyo
La this app may harm ya device,
Nimepata hofu kuipakua
Hofu yako tu, mimi nimeshadownload sana kutoka kwenye websites ambazo siyo playstore na simu yangu haijapata virus wala kuharibika kivyovyote vile.
Una habari ukidownload app kutoka kwenye website ambayo siyo playstore ina faida kuliko playstore?
 
Wadau nauliza ni app gani nzuri au ambayo ipo updated kwa sasa kwa ajili ya kudownload videos za YouTube.Zamani nilikua natumia TubeMate lakini kwa sasa haipatikani tena kwenye Playstore wala Appstore.
Itafute kwa browser ya kawaida... Mimi ndo naitumia ipo vizuri tu
 
UC Browser mini mbona inafanya hivyo kwenye simu yako haipo
 
Ingia google,tafuta moja kati ya hizi apps,Vidmate apk,au AIO DOWNLOADER kisha download video za ytube na nyingine nyingi
(AIO DOWNLOADER INAWEZA KUDOWNLOAD MOVIE ZA KILA NCHI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…