Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Uvivu kitu kibaya sana. Ungeingia google sekunde mbili tu ungemaliza hili swala

ingia youtube, chagua video unayotaka, copy link yake

then fungua YouTube to MP4 & MP3 Converter and Video Download paste hiyo link, chagua format unayotaka kama ni audio MP3, video MP4. hizo format nyingine achana nazo zisikuchanganye.
 
Assalam
Wajuzi naomba nisaidiwe ni program au app zipi ni nzuri kwa kutumia katika PC kwa kudownload video za youtube, livestreaming, matokeo na ratiba za mpira na scientific discovery.
 
Kudownload video huwa nafungua youtube kwenye browser kisha nacopy link ya video kisha nafungua www.catchvideo.net au www.keepvideo.net kisha napest link humo halafu nabofya " keep" kisha nachagua quality niitakayo kisha nadownlod.

Mchakato wote huo sihitaji software yoyote zaidi ya browser yoyote na software ya internet download manager (idm)
 
Kwa maswala yote ya mpira live stream na ratiba huwa naingia hapa kupitia browser yoyote www.totalsportek.com.
Ni vizuri ukiinistall extension ya flash player kwenye browser utumiayo.
 
Mkuu mimi huwa natumia

YUMMY VIDEO DOWNLOADER
IDM


unabeba link kule utube unakuja kuiweka kwenye pro husika
 
Mimi huwa natumia uc browser, haihtaji program ya kudownload video. Ukiingia youtube na ukafungua video unayoitaka utaona kuna alama ipo juu ya kukuruhusu kupakua
 
Wakuu naomba msaada wenu
Videos zina stuck kwenye PC desktop yangu
Msaada tafadhali
 
Wakuu naomba msaada wenu
Videos zina stuck kwenye PC desktop yangu
Msaada tafadhali
Ram ya pc ina ukubwa gani?
Umeupdate media player yako?
Media player gani unatumia?
Umeupdate gpu (video ram)yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…