Am not sure kama iyo njia inafanya kaz bila app yao.
Kwa kifupi ingia yputube kupitia browser yako then ingia
www.youtube.com
Nenda kwenye search box na utype keywords kwa ajili ya video unayo taka
Baada ya machaguo mengi kutokea chagua video unayo taka
Baada ya video kuanza kuplay tuu, nenda kwenye address bar ambapo utakuta kuna link yenye mfano huu
http://www.m.youtube.com/hsjn17Tr
Fanya kitu kifuatacho
Katika hiyo link ongeza herufi SS nyuma ya neno youtube
So itasomeka
Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!
Then bonyeza enter au ok kuruhusu reloading ya page then utaona button ya kudownload iyo video na option mbalimbali kama za resolution na video format