Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Am not sure kama iyo njia inafanya kaz bila app yao.

Kwa kifupi ingia yputube kupitia browser yako then ingia www.youtube.com

Nenda kwenye search box na utype keywords kwa ajili ya video unayo taka

Baada ya machaguo mengi kutokea chagua video unayo taka

Baada ya video kuanza kuplay tuu, nenda kwenye address bar ambapo utakuta kuna link yenye mfano huu

http://www.m.youtube.com/hsjn17Tr

Fanya kitu kifuatacho

Katika hiyo link ongeza herufi SS nyuma ya neno youtube

So itasomeka Free Online YouTube Downloader: Download YouTube Videos, Facebook and many others!

Then bonyeza enter au ok kuruhusu reloading ya page then utaona button ya kudownload iyo video na option mbalimbali kama za resolution na video format
Ahsante Kwa Kuongezea.
 
What's up Members.

Bila kupoteza wakati Hatua nikama ifuatavyo:

1.Ingia youtube.com na usearch na Uclick video unayotaka kudownload

2.Ikiwa inaaza kuplay isimamishe Then Kwenye Address Bar ya Hiyo video kaedit kwa kuweka "ss" mbele ya neno youtube then bonyeza enter au search

3.Itafunguka website nyingine itakayo kuletea options za quality za iyo video unayotaka kudownload

4.Select Quality unayotaka then bonyeza download. Download Ikimalizika utaweza kuenjoy kuangalia video yako Sasa

@TechyJerry
 
Nimetumia ummy downloader yenyewe inahitaji dolla pesa.Ipi app au programme ya kudownloadia video kwa pc. pleaseNaonbeni msaada wenu please
 
Back
Top Bottom