Huna haja ya kudownload program yoyote.
Fungua search engine yoyote, kisha ktk search bar andika "
www.savefrom.net" itakufungulia hiyo program page ikiwa na search bar katikati yake, na option ya kudownload upande wa kulia kwake (iache kwa muda)
Fungua page ya YouTube, tafuta muvi unayoitaka, ukiipata inakuwa imefunguka na link yake ktk search bar.
Ikopi hiyo link kaipesti ktk search bar iliyopo katikati ya page ya savefrom.net
Ukishaipest, itaanza kuisearch hiyo muvi kutokana na link uloipest, kisha itaifungua icon ya muvi,
Unachotakiwa kufanya ni ku click download upande wake wa kulia na kuspecify wapi uihifadhi ktk computer yako.
Muvi zinazokuwa ktk Mp4 utazikuta na MB chache kama 400 au hata 360 ,na zilizopo ktk MP3 zitakuwa na MB 600 au zaidi.
Cha msingi ihakikishe muvi ktk YouTube kama ni full movie kabla hujaicopy link yake
Thank me later