griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Kwa pc ,vipi ipi safi?Au snaptub but unazigoogle hazpo playstore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa pc ,vipi ipi safi?Au snaptub but unazigoogle hazpo playstore
Link tafadhaliTumia tube mate
Nimejaribu OGYOUTUBE imekataa ,mwenye ufahamu anisaidie
Weka Link [emoji821] mkuuuuTubemate, search google, haipo playstore
Internet download manager(IDM) au YouTube downloaderKwa pc ,vipi ipi safi?
ShukraniVidmate itafute iko poa
[emoji106]Tumia tube mate
ShukraniVideorder
Mkuu hilo nimefanya,baada ya kumaliza kudownload og, outomatically niielekezwa ni load hiyo ogdownloader,vyote ninavyo ,tatizo inagoma halafu naambiwa mambo ya parameterKuna kitu ulisahau ndio maana OGYOUTUBE haidownload. Unachotakiwa kufanya ni Kudownload software inaitwa OGDOWNLOADER, ukifanya hivyo OGYOUTUBE itaanza Kudownload vizuri tu automatically tena unachagua na quality unayotaka. Jaribu uone mkuu.