Amesema iPhone....unajua masharti ya iPhone......hayo mambo yanawezekana kirahisi kwenda android.download VIDEODER APK kutoka gugo
Nmefanikiwa shukran sanaaaKwa uhakika ningeshauri utumie website inayoitwa savefrom.net hapo utadownload video mpaka za fb au insta na kwingineko kote.....
Download app inaitwa documents, au imedia then kuna browser ndani ya hizo application
Utakachofanya ndani ya hizo browser ni kufungua hiyo website www.savefrom.net
Then utapaste link ya video yoyote unayotaka then itakupa option ya kuchagua quality, you are good to go.
You are welcome mkuuNmefanikiwa shukran sanaaa
gugo haipodownload VIDEODER APK kutoka gugo
Hiyo hiyo website niliyoweka hapo juu, www.savefrom.net kwa browser yoyotevp kuhusu kudownload video za youtube kwa kutumia computer wakuu
ok sawangoja nichekiHiyo hiyo website niliyoweka hapo juu, www.savefrom.net kwa browser yoyote
vp kuhusu kudownload video za youtube kwa kutumia computer wakuu
Njia ya 1.
Ingia site ya youtube. Click video unayotaka juu kushoto kweny adress bar. Click hapo itakuwa www.youtube hapo nyuma ya Y weka ss au vd itakuwa hivi www.ssyoutube au www.vdyoutube itakupeleka kwenye page ya savefromnet au keepdownloading kisha utachagua format unayotaka. Hapo kweny adress ww utaongeza ss au vd basi, usifute au kuongezea maneno mengine.
Au
Open another tab. Search keepdowloading au save from net ikishafunguka. Rudi kwenye site yako ya youtube i-copy hiyo address kisha ipaste kwenye page za save from net au keepdownloading
(hii ni buree)
Njia ya 2.
Kuna idm (internet download manager) hii ni ya kulipa
Njia ya 3
Download Youtube downlowder Hd hii ni buree kbsa haiuzwi. Utakuwa unacopy video adress kisha una paste kweny youtube downloader
All those who are fond of music, must have heard about Online Mp3converter because a number of users rely on this astonishing downloader to save their favorite media file. Website URL:- Youtube to MP3 Converter - MP3Converter (No.1 Rated Online)
Nimedownload hio but inaleta erro ktk kuinstallwaweza pia tumia Torch Browser, una download for free kabisa
Unafanyajesnaptube