Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kwa uhakika ningeshauri utumie website inayoitwa savefrom.net hapo utadownload video mpaka za fb au insta na kwingineko kote.....
Download app inaitwa documents, au imedia then kuna browser ndani ya hizo application
Utakachofanya ndani ya hizo browser ni kufungua hiyo website www.savefrom.net
Then utapaste link ya video yoyote unayotaka then itakupa option ya kuchagua quality, you are good to go.
 
Nmefanikiwa shukran sanaaa
 
vp kuhusu kudownload video za youtube kwa kutumia computer wakuu

Njia ya 1.
Ingia site ya youtube. Click video unayotaka juu kushoto kweny adress bar. Click hapo itakuwa www.youtube hapo nyuma ya Y weka ss au vd itakuwa hivi www.ssyoutube au www.vdyoutube itakupeleka kwenye page ya savefromnet au keepdownloading kisha utachagua format unayotaka. Hapo kweny adress ww utaongeza ss au vd basi, usifute au kuongezea maneno mengine.
Au
Open another tab. Search keepdowloading au save from net ikishafunguka. Rudi kwenye site yako ya youtube i-copy hiyo address kisha ipaste kwenye page za save from net au keepdownloading
(hii ni buree)
Njia ya 2.
Kuna idm (internet download manager) hii ni ya kulipa
Njia ya 3
Download Youtube downlowder Hd hii ni buree kbsa haiuzwi. Utakuwa unacopy video adress kisha una paste kweny youtube downloader
 
shukran mkuu
 
Wadau najua jukwaa hili lina watalaam kibao wa IT ,mara nyingi nimekuwa nikipata majawabu ya matatizo yangu mbalimbali humu hivyo kuongeza ujuzi katika matumizi ya simu na pc yangu.

Naomba msaada. wadau
 
Back
Top Bottom