Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Kwema wakuu??

Tangu juzi najaribu kudownload vitu youtube inagoma kabisa....me natumia snaptube kudownload..
Je hili ni tatizo kwa wote au ni mimi tu na device yangu....au kuna app ingine naweza kuitumia...
Msaada wenu wajuzi wa mambo.

Asante.
 
Kwa sasa imekuwa mtihani kwa kweli yaani hata mimi kwenye pc zinagoma njia zote ninazo jaribu hamna kitu. YouTube wamekaza si mchezo.
 
Wakuu mwenye njia mbadala basi maana me kwa kweli nimekwama kabisa. Kila nikifurukuta hamna kitu.
 
Mi bado natumia sijui
Kwa sasa imekuwa mtihani kwa kweli yaani hata mimi kwenye pc zinagoma njia zote ninazo jaribu hamna kitu. YouTube wamekaza si mchezo.
Naona whatsapp na youtube wameamua kukaza,ila mie bado nadownload video kama kawaida.
 
Wakuu mwenye njia mbadala basi maana me kwa kweli nimekwama kabisa. Kila nikifurukuta hamna kitu.
Nilikuwa mbali na pc mkuu, jana nimeeka idm kwenye pc yangu mbona inadownload youtube vizuri tu?

Hakikisha
1. Una idm latest
2. Browser ipo up to date
3. Ume enable extension ya idm kwenye browser.

Alternative kuna open source youtube downloader inaitwa Youtube dl inatumia comands lakini kuna GUI zake nyingi zipo online unaweza kuisearch.
 
Idm me huwa haidaki natumia opera browser.

Halafu tatizo la idm ni quality za video hua mbaya. Ww huwa unafanyaje kupata quality nzuri?
 
Idm me huwa haidaki natumia opera browser.

Halafu tatizo la idm ni quality za video hua mbaya. Ww huwa unafanyaje kupata quality nzuri?
Idm inadownload quality unayoangalia ikiwa extension yake haipo enabled, hivyo inabidi manual uclick kialama cha gear kwenye youtube player na kuchagua quality nzuri (720p, 1080p, 2k, 4k etc)

Ila kama extension yake inapiga kazi vizuri kikitokea tu kialama cha download ukiclick unapewa option ya quality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…