Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

hapana! nimejaribu hzo zote apo nilizo tajiwa lakin cjafanikiwa, sasa cjui nachagua zenye icon tofaut?
 
Fungua hiyo savefromnet.com. halafu fungua kwenye window nyingine youtube. Then copy url ya video na nenda kapaste kwenye savefromnet halafu seach itatokea type za video zilizopo then download.
 
habar great thinkers kama title inavojieleza msaada tafazar jinsi ya kuweka application ya kupakua video za aina zote
 
nenda uka download application inaitwa tubemate , haipo playstore , hivyo itakubidi kutoka nje ya store , na baada ya hapo utafata maelezo ...


tubemate ndio application pekee ya kudownload videos from youtube kwa urahisi zaidi
 
Inadepend na web unayoenda kuchukulia video.
Hii ni kwa ajili ya
YOU TUBE

Unachotakiwa kufanya ni kwamba.
1.Ingia kwny web ya youtube.
http://youtube.com

478758900_bcd9c1883d.jpg


2. Search video unayoitaka. Then ukiipata click on that video.

3. Kwny page,ya kuwatch video. Ingia sehemu ya kuandika website. Utakuta kitu kama hichi.
http://youtube.com/watch?v=LXXQLa-5n5w&itct=CKcCEKQwGAAiEwiHn-fN4NnFAhXLs2oKHUhkAMMyCmctaGlnaC1yY2g%3D&gl=US&client=mv-google&hl=en

Kati ya http:// na youtube.com/watch?v=LXXQLa-5n5w&itct=CKcCEKQwGAAiEwiHn-fN4NnFAhXLs2oKHUhkAMMyCmctaGlnaC1yY2g%3D&gl=US&client=mv-google&hl=en
Andika "ss"

So itaonekana kama ifuatavyo.

http://ssyoutube.com/watch?v=LXXQLa-5n5w&itct=CKcCEKQwGAAiEwiHn-fN4NnFAhXLs2oKHUhkAMMyCmctaGlnaC1yY2g%3D&gl=US&client=mv-google&hl=en

>>Then una click Go.

Page ifuatayo itatokea.

save-from-net.png
.

THEN UTA DOWNLOAD AINA YA UWEZO WA VIDEO UNAYOTAKA
Kama vile mp4,3gp,avi,n.k

THANKS NIGGA PAMOKO.
 
Habari wakuu,mmi nilikuwa napenda kufahamu zile video za YouTube kuna uwezekano wa kuzidownload na kama upo unafanyaje ili uweze kudowload kwenye smart phone!
 
Mkùu tafuta app inaitwa tube mate. Hiyo ukiwa nayo unadownload mpaka zile full hd za 1920×1080 kwa android phone yako
 
Fungua video unayotaka kudownload then kwenye link yake pale juu andika ss baada ya www.
Link itakupeleka kwenye page ambayo utachagua quality then dowload.
 
alternative nyingine ni kutumia UC mini browser, ukisearch video ya youtube inakuuliza unataka udownload au kuplay.Download yake iko very fast jana tu nimedownload video law of sucess ambayo ni masaa mawili very easily!
limitation
Kuiplay iyo video unaingia kwenye downloads ndo inaplay ,player yangu imekataa cjui wengine .
Note:Browser ni UC mini cyo UC browser ya kawaida
 
Back
Top Bottom