Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

kama unataka kudownload kitu pale youtube fanya hivi

fungua video unayotaka kuidownload
kwenye linki ya hiyo video inaanza na www. asa wewe baada ya dot type ss kisha press enter kwenye laptop yako then wait kidogo alafu dowload video yako
 
FAIDA YA HII APP
+Siyo kama YouTube media downloaders nyingine za simu ambazo siku hizi hazifanyi kazi tena kutokana na YouTube terms of services.App hii bado inadownload kama kawaida
+Inasolve tatizo la video ulizodownload kutokutoa sauti.Mimi mwenyewe nilikuwa na tatizo kama hilo la video nilizodownload za quality ya 480p,1080p,1440p,2160p na kwenda juu kutokutoa sauti,lakini baada ya kuanza kutumia app hii,video ya quality yoyote nitakayodonwnload inatoa sauti.
HASARA YA HII APP
-Inakataa kudownload baadhi ya audio format,kwenye simu yangu inakubali M4A tu,MP3 inakataa.
-Inakataa kuinstall audio plugin.
-Inakataa kujoin video na audio.
CONCLUSION:Kwa sababu inakataa kuinstall audio plugin,maana take siyo nzuri sana.App mbadala was hii ni OGYOUTUBE.Hasara ya ogyoutube ni moja tu,sometime inakataa kudownload audio.
Ijaribu OGYOUTUBE Mkuu,utaikataa videoder.Ila shurti la ogyoutube ni mpaka uinstall app ya microG for OGyt halafu sasa ndiyo uje OGYOUTUBE.
 
Halafu hii ogyoutube ikikukataa kwenye version moja,jaribu version nyingine.Mi mwenyewe 10.62.62 ilinikataa,nikajaribu 8.10, 10.05.6 na 10.3.55 nazo zikanikataa.Mwishowe nilipojaribu 10.45.53 ndiyo imenikubali mpaka leo naitumia,ingawaje inaniletea errors kwenye kudownload audio.
Kuna version 8.10, 10.05.6, 10.31.55, 10.45.53 na 10.62.62.
 
Nimeona hili swali mara nyingi sana, sasa naomba nilijibu once and for all.

a...Haya ni maelekezo ya ku-download video za youtube kwa kutumia software iitwayo "free youtube downloader" inayopatikana kupitia hapa: Free YouTube Downloader: YouTube Downloader & YouTube to MP3 Converter

au hapa: jamiiforums.com
b...hatua namba mbili na kuendelea pia zinaweza kutumika kwa baadhi ya watu watakao- download software nyingine
c...haya ni amelekezo kwa watumiaji wa kompyuta tu.

Fuata maelekezo kwenye picha kwa ku-download content yeyote kwenye YouTube..
1. Nenda kwenye browser yako (chrome, opera n.k) alafu google search "Free youtube downloader", kutokana na majibu yako, unaweza pata CNET.com(angalia picha) lakini nakushauri nenda kwenye official page yao ambayo pia nimeandika hapo juu.

2.Download na install kwenye pc kisha ifungue

3. Fungua youtube (labda tafuta video fulani) kwenye browser yako; Sasa kila video ya youtube huandikwa na kupewa anwani tofauti ziitwazo "URL" (mfano;www. yout.wdysbajhsjhjha) unachotakiwa kufanya ni kucopy hii URL na kui-paste (au kuiweka) kwenye kurasa ya wazi ya free youtube downloader software iliyoko kwenye kompyuta yako.

URL huandikwa juu kabisa ya browser yako, ili kui-copy kwa urahisi "double click" ukiwa umeweka mouse katika neno mojawapo kwenye hiyo URL...utaona maandishi yote yamekua bluu, sasa "right click na u-copy"

4. Rudi sasa kwenye kompyuta yako, utaona kwa haraka unapo-click ile software, ile anwani tayari ipo pale na chini yake kuna uamuzi wa ku-download. Hii hufanyika automatically, ukisubiri kidogo (kutokana na speed ay internet) utaona mpaka picha ndogo ya video unayotaka ku-download. Kama huoni kitu basi paste address uliyo-copy kwenye sehemu nyeupe ya juu kabisa......mara nyingi kitendo cha kubonyeza copy utafanya ila ku-paste software yenyewe itafanya

kitu cha mwisho kabisa picha ya 5 inaonyesha sehemu moja ikiwa na njano...hapa unaweza kuchagua quality ya video ya kudownload. Mara nyingi kutokana na setting za youtube yako inaweza kuwa kama hivi "Download MP4(1080p)"..uki-click ujue kwamba ita-download video kwa quality hiyo.

kama utapenda kushusha quality (kupunguza mb za kutumika) bonyeza mshale wa mbele hapo hapo, nenda kwenye mshale wa "MP4"...kadiri unavyochagua namba ya chini ndivyo quality ya video na mb zinavyopungua.

kama utapenda audio (mfano mp3) za video hiyo, basi chagua kwenye pale palipoandikwa "download mp3 (128kbps)" kwa mfano

Natumai mwanajamii mmeelewa![/MEDIA]
 

Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    43.7 KB · Views: 91
  • 2.JPG
    2.JPG
    75.7 KB · Views: 87
  • 3.JPG
    3.JPG
    66.9 KB · Views: 87
  • 4.JPG
    4.JPG
    64.6 KB · Views: 88
  • 5.JPG
    5.JPG
    65.3 KB · Views: 88
Habar wana JF, naombeni msaada jinsi ya kudownload video YouTube, na kudownload movie kwenye laptop mfano serious natumia min?

Angalia maelekezo kupitia uzi huu
"Jifunze hatua kwa hatua;namna ya kushusha video za Youtube bure"
 
kama unatumia pc pia waweza kuinstall bluestack kwenye pc yako halafu ukadownload na kuinstall tubemate, hivyo utakuwa unadownload kama unavyotumia simu yako bila matatizo
 
nzuri hii
unaiplay video halafu ikishaanza kuplay nenda juu kwenye URl nyuma ya neno youtube andika"ss" mwisho click search
kama unatumia laptop badala ya "ss" weka"m"
Ni nzuri sana video inatoka n
 
Hakuna kama snaptube, hadi Instagram Na WhatsApp Ina download tu.!
 
Back
Top Bottom