Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Nimejaribu. It Worked. Shukrani sana mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tubarikiwe Sote.
Inakwambiaje?Baada ya kupaste kwenye .savefrom...
Sawa Mkuunashukuru sana mkuu kwa kuleta ujuzi wako humu ,siku navuta tu huko you tube
Sawa, ila hii ni bila Kutumia App yoyote MkuuSimply download gbinstagram tu...ina option ya Ybdownload
Shukrani Na Wewe MkuuNimejaribu. It Worked. Shukrani sana mkali
SijajuaVp mku hii ata kwenye iPhone ona apply ?
Sure SureDah noma
PamojaSawa
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KU DOWNLOAD YOITUBE & INSTAGEAM VIDEOS BILA APPLICATION YOYOTE.
Je We we Ni Mmoja Wta Wanaotumia Application Ku download YouTube & Instagram Video? Kama Jibu Ni Ndio Basi Ifuatayo Ni Njia Mbadala Ya Kupakua Video Za YouTube Na Instagram
MAHITAJI
-SmartPhone
-Mbs
-App Ya YouTube & Instagram
-App Ya Google Chrome / OperaMini.
1.YouTube
-Nenda Kwenye Hiyo Video Kisha Bofya SHARE
-Bofya COPY LINK
-Ingia GOOGLE CHROME / OPERA MINI, nenda sehemu ya kuandika Url, Kisha andika (savefrom.net) bila mabano
-Paste Link Uliyoi-copy, Palipoandikwa ENTER THE URL
-Chagua Format Uitakayo (Mfano Mp4)
-Bofya Download
UKIMALIZA KU DOWNLOAD, VIDEO YAKO UTAIKUTA KWENYE GALLERY
AMA KUHUSU INSTAGRAM, UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HAPO CHINI.
Eventually imekubali, asante kwa utayari wa kuasist.Inakwambiaje?
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KU DOWNLOAD YOITUBE & INSTAGEAM VIDEOS BILA APPLICATION YOYOTE.
Je We we Ni Mmoja Wa Wanaotumia Application Ku download YouTube & Instagram Video? Kama Jibu Ni Ndio Basi Ifuatayo Ni Njia Mbadala Ya Kupakua Video Za YouTube Na Instagram
MAHITAJI
-SmartPhone
-Mbs
-App Ya YouTube & Instagram
-App Ya Google Chrome / OperaMini.
1.YouTube
-Nenda Kwenye Hiyo Video Kisha Bofya SHARE
-Bofya COPY LINK
-Ingia GOOGLE CHROME / OPERA MINI, nenda sehemu ya kuandika Url, Kisha andika (savefrom.net) bila mabano
-Paste Link Uliyoi-copy, Palipoandikwa ENTER THE URL
-Chagua Format Uitakayo (Mfano Mp4)
-Bofya Download
UKIMALIZA KU DOWNLOAD, VIDEO YAKO UTAIKUTA KWENYE GALLERY
AMA KUHUSU INSTAGRAM, UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HAPO CHINI.
Kila mtu ana mapenzi yake, wewe unaweza ona ni bora kujaza simu yako na mi apps mingi wakati mimi naona ni upuuzi na naona njia ya mkali ndio bora so we fanya kitu roho inapenda at the end kila mtu kapata kile moyo unataka.Mzunguko wote huo while kuna OG insta na GBinsta zina weza download, kuna videoder, tubemate nk...