Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Ndio nachokitaka mkuu
Yap, fanya kudownload app ya YouTube halafu unapofika kwenye video utakutana na neno downloads, kisha download itaenda moja kwa moja kwenye downloads kwa kuangalia folder la Library
323F74C9-59AF-4BC6-97E0-074A0BDFADA2.jpeg
E847A11B-7A2A-4C82-B1B1-3DB6D49F694E.jpeg
 
Kama unataka kusave kwenye camera roll and you don’t care about spam and malicious threats download ipsw ya YouTube++ halafu install itafanya kazi hiyo
Ukidownload kwa njia hii video hazingii kwenye gallery, kwani iPhone haiwezekani kutumia VIDMATE (via opera mini)
 
Hii inakuwa downloaded kabisa hata akii mute kwako still inakuwa ipo inacheza maana tayari ni download kwenye simu

sio video zote unaweza download ivo mkuu zingine azikubali boss kutokana na alie upload alivoweka kama video nyingi za mziki official azikubali ili video ipate viewers wengi
 
Nimejaribu kutumia documents iPlay bado haziridhishi naomba kwa anayejua apps za ku download video direct YouTube anisaidie

Tumia hii Video vault , fast reliable na inashusha kila video ya YouTube una save unapotaka

IMG_9069.JPG
 
IMG_9068.JPG


Tumia Hiyo video vault , hakikisha ina rangi na alama kama hiyo ... install , copy link YouTube then iweke itakwambja download or cancel . Bonyeza download itashusha

Unaweza ku save bookmarks n.k.
 
iphone zinachoniuzi hicho tu kwenye upande wa apps ni ngumu kupata na ukitaka nyimbo lzm ununue itune daaah bora adroid full unlimitation
 
iphone zinachoniuzi hicho tu kwenye upande wa apps ni ngumu kupata na ukitaka nyimbo lzm ununue itune daaah bora adroid full unlimitation
Sasisha ios kuwa toleo la 12 kisha pakua app inayoitwa siri shortcut na kisha tafuta shortcut inayoitwa media grabber.hiyo inapakuwa mitandao yote ya kijamii inapakulia kny photo gallery au ukipenda kny prongram yeyote inayocheza video.
 
Back
Top Bottom