Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Tubemate nzuri sana video and audio ila audio make sure unaweka mp3 coverter
Screenshot_2019-03-26-17-05-07-94.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps nyingi zinajaza simu tu. Unaweza kuwa una download online hapa
YouTube Downloader - Download Video and Audio from YouTube
Download Video and Audio from YouTube
Daaaa mkuu ingekua offer ya makonda bado inaendelea ningekuambiza agiza tani yako!

Mwenyewe nachukia sana kujaza app bila sababu kwenye simu yangu!
Asante sana mkuu yaani hii yako very simple🙌🙌🙌🙌🙌
 
Daaaa mkuu ingekua offer ya makonda bado inaendelea ningekuambiza agiza tani yako!

Mwenyewe nachukia sana kujaza app bila sababu kwenye simu yangu!
Asante sana mkuu yaani hii yako very simple🙌🙌🙌🙌🙌
Hahaa tuko pamoja mkuu.
 
Daaaa mkuu ingekua offer ya makonda bado inaendelea ningekuambiza agiza tani yako!

Mwenyewe nachukia sana kujaza app bila sababu kwenye simu yangu!
Asante sana mkuu yaani hii yako very simple🙌🙌🙌🙌🙌
PIA NI NAMNA GANI NAWEZA BYPASS [KUFUNGUA A BLOCKED SITE] LET SAY YOUTUBE ETC...??
 
Salamu kwenu wanajukwaa wenzangu la tech.

Leo kuna video nilikuwa nahitaji kuishusha youtube. shida ikaja nikifungua videoder inafunguka but inasema kwa sasa haiwezekani kudownload video za youtube. nikaenda kwenye site ya catchvideo.net nayo tangu muda tu ilishablock youtube video. tubidy.io.com nayo hamna kitu.

Pls mwenye njia mbadala atusaidie. cc Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom