Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

INTERNET DOWNLOAD MANAGER (IDM) CRACKED

http:// fileml.com/l/0574i
 
Ninayo tayari but shida ya hiyo video zinakuwa low quality. Halafu huwezi kuziset kudownload kwa quality uitakayo.
INTERNET DOWNLOAD MANAGER (IDM) CRACKED

http:// fileml.com/l/0574i

Troublemaker 2019. all right reserved.
 
Tumia 9xbuddy ambayo ni online downloader.

Ukishafungua video yao copy url yake ukaipaste kwenye 9xbuddy then fuata maelekezo. Iko poa sana.
 
Ninayo tayari but shida ya hiyo video zinakuwa low quality. Halafu huwezi kuziset kudownload kwa quality uitakayo.
Troublemaker 2019. all right reserved.
Ni version latest? Maana idm ili ifanye kazi bila matatizo inahitaji iendane na version ya browser.
 
Kama unatumia pc open new tab, then search save from net. Open web page. Rudi katika YouTube fungua video unayotaka alafu cop url ka-paste pale save.net utaletewa format za video yako, mp4 720 au 360. Then download. My confession. Nimetumia hii njia tangu 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu inawezekana
Unafanyaje? Me nishazoea nikiwa naangalia yenyewe automatic inaniuliza kama ningependa kudownload. Nikikubali tu inadownload yenyewe bila kunipa machaguo.

Troublemaker 2019. all right reserved.
 
Unafanyaje? Me nishazoea nikiwa naangalia yenyewe automatic inaniuliza kama ningependa kudownload. Nikikubali tu inadownload yenyewe bila kunipa machaguo.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
Ndio maana nikakuuliza unatumia idm latest na browser latest?

Huwa unapo install idm nayo ina install extension kwenye browser yako ili iweze ku intergrate vizuri. Kama kimoja wapo kipo outdated hutapata muunganiko mzuri unaoshika video zote.
 
natumia v 6.27 latest now ni ipi? maana opera yangu huwa inaupdate automatic mara kwa mara sina shaka nayo labda i dma.
Ndio maana nikakuuliza unatumia idm latest na browser latest?

Huwa unapo install idm nayo ina install extension kwenye browser yako ili iweze ku intergrate vizuri. Kama kimoja wapo kipo outdated hutapata muunganiko mzuri unaoshika video zote.
a
 
Back
Top Bottom