Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

ni nini hiyo hapo kwenye Avator mbona engaree hivyo, maji ya kunywa hivyo?
ng'ombe ngapi nilete?

napotea sana wewe, Wera ari yu!

Mwanao huyo!!

Mkuu kijiwe ni hiki hiki sema tu mabenchi ndo tofauti.
 
Tumia youtube video downloader ni nzuri just install kwny pc yako.then fungua video unayotaka download youtube then copy url ya hiyo video kisha fungua youtube downloader uliyo install paste ile url uliyo copy then acha ipakue simple like that pia unaweza tumia internet download manager
 
Hello! Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya ku-download video youtube anifafanulie maana nina ujuzi mdogo ktk IT
 
unataka kwenye simu au pc??
Km ni simu n Android OS search google andika Tubemate Apk thn utaidownload na kuinstall thn utafuata maelekezo utakapo kwama utani pm
Km ni pc kuna options mbili kwa kutumia software au manualy...kwa software download IDM ambayo ni cracked kwa kutumia torrents n after installation ukifungua youtube ukiplay video itakupa pop up message km unataka kudownload...
The last option hii inafanya kazi kwa vyote PC n Mobile Phone chakufanya ni hiki:-
ingia youtube kwa kutumia browser yako thn search video unayoitaka kuidownload after that ukishaichagua wakat imetokea page ambayo inakuuliza km unataka kuiwatch nenda kwenye sehemu ya kuandika URL eg.www.youtube.com thn edit kwa kufuta ile m. afu andika ss thn go itafungua anatha page ambayo itakupa option mbali mbali pamoja na video formats ambazo ungependa kuzidownload...
Kwa PC hii kitu ni rahc kwasababu hiyo site itakayofunguka hapo itakupa nafac ya kudownload n kuinstall plugin yao ambapo baadae unapofungua browser yako ktk youtube utaona kuna downloading button so unaweza kudownload hapo hapo
 
Kama unatumia kivinjari cha Firefox, nenda kwenye add-ons manager, click extensions. Tafuta "DownloadHelper". Iongeze kuwa mojawapo ya extension kwenye browser yako. Ianzishe upya kivinjari chako....furahia maisha...

Jinsi ya kuweka angalia hapa Firefox and download helper tutorial - YouTube

Hello! Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya ku-download video youtube anifafanulie maana nina ujuzi mdogo ktk IT
 
Back
Top Bottom