Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Karibu kitaani kwetu uone vyumba vyetu vilivyo , chumba kina nyundo, misumeno, tambalala la dekio, ndoo za Maji, panga, debe la mahindi, kitanda , jiko la Mkaa,

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Kwa maisha ya kitanzania kwa tulio wengi,kupata chumba chenye nafasi na nafasi ya uwezo kufanya yote hayo,sijui!!.inawezekana maana hali zetu hazifanani hata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…