naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Kila kabila na jina lao mkuu, hapo wenye kabila lao wameelewaOoh okay, nlikuwa sifahamu hili. Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kabila na jina lao mkuu, hapo wenye kabila lao wameelewaOoh okay, nlikuwa sifahamu hili. Thanks.
Hasa usiku, babu walikuwa na akili sana AhahahahahahaaHahahahaaa.
Nimekupata vyema mkuu si ndio hutumika kuchimba dawa hii kitu.
That's great my lovely.
Nadhani ni sahihi, kuna vipindi vingine vinapendeza kuangalia ukiwa umejilaza kitandani!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa usawa huu ukiwa na hivyo vitu jiandae kufwatwa na TRA na kubambikiziwa kesi umekwepa kodi...
Hao wanaingiaje kwenye uzi huu jamani, acheni kuchafua hali ya hewaMudy S.A.W mbakaji wa mtoto Aisha alipewa sumu na mchepuko wake yule wa kiyahudi.
Mkuu mambo ya chang'ombe kwa huku kwetu Dodoma!Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Kwa tulivyolizwa madini miaka nenda rudi kuishi store ni halali yetu.Tatizo watanzania wengi tunaishi store utakuta ndoo za maji sufuria mwiko jiko la mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa, ndio wanasemaga tunalala stoo!hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
You do care ni vile tu maybe hali hairuhusu. Hakuna anaependa kuishi store jamani ni huu umasikini tu.Men only need a fresh smelling woman in bed the rest we dont care.