Hahahaha sawa, lkn ishu hapo sio kupenda mpira....ishu ni kumfanya apende kucheza video games,
Unajua FIFA ni gumu na mtu kama mpira hapendi kupenda kulicheza hilo itamuia vigumu zaid,
Jaribu kuanza nae hata games za RACING au FIGHTING, mfundishe alafu uwe unampa mpenyo wa kukushinda.....trust me atapenda, *raha ya video game ni kushinda*
Hata mm sio mpenzi wa mpira kiasi hicho wala yeye ila game napenda sana so tunacheza sana,
Kuna ladha flan hiv ujue ukiwa unacheza nae mama watt, hahahaha [emoji23][emoji28]
Mnaweza wekeana challenge....ukimfunga atafanya kitu flani....all in all its all about enjoying oneselves nd having fun.
Jaribu chief, kama uliweza kumtongoza akakukubalia huwezi kushindwa kumfanya apende video game.[emoji41]