Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Huyo nakaa kimya tu maa hawa viumbe jau sana
Uraibu wa maGame nao sio mzuri sana chief...kuwa makini,
Wenzio watakusaidia kulea mke ooh! Unless umfundshe na yy kucheza muweke 2Player [emoji1][emoji1]
 
Mkuu;
Nilipoona tu hiyo midirisha ka mlango halafu hata nondo moja tu ya kukatiza katikati nikajua huyu sio wa kwetu.

Hivi utakuwa umeweka alarms za namna gani kukuamsha wakiwa bado kule barabarani?? Kisa, mtu aliangalia tu nyumba yako iliyo nzuri. Alarm inatakiwa ikuamshe kisa mtu kageuzia uso kwako.

Nakuambia, watakuchukua mzima mzima na mumeo wakawaweke mahali pema peponi siku yako ya kwanza kuhamia
 
Kungongewa siwezi kucheza nae pia jau hapendi mpira
Hahahaha sawa, lkn ishu hapo sio kupenda mpira....ishu ni kumfanya apende kucheza video games,

Unajua FIFA ni gumu na mtu kama mpira hapendi kupenda kulicheza hilo itamuia vigumu zaid,
Jaribu kuanza nae hata games za RACING au FIGHTING, mfundishe alafu uwe unampa mpenyo wa kukushinda.....trust me atapenda, *raha ya video game ni kushinda*

Hata mm sio mpenzi wa mpira kiasi hicho wala yeye ila game napenda sana so tunacheza sana,
Kuna ladha flan hiv ujue ukiwa unacheza nae mama watt, hahahaha [emoji23][emoji28]

Mnaweza wekeana challenge....ukimfunga atafanya kitu flani....all in all its all about enjoying oneselves nd having fun.

Jaribu chief, kama uliweza kumtongoza akakukubalia huwezi kushindwa kumfanya apende video game.[emoji41]
 
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Hadi meli chakavu[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha sawa, lkn ishu hapo sio kupenda mpira....ishu ni kumfanya apende kucheza video games,

Unajua FIFA ni gumu na mtu kama mpira hapendi kupenda kulicheza hilo itamuia vigumu zaid,
Jaribu kuanza nae hata games za RACING au FIGHTING, mfundishe alafu uwe unampa mpenyo wa kukushinda.....trust me atapenda, *raha ya video game ni kushinda*

Hata mm sio mpenzi wa mpira kiasi hicho wala yeye ila game napenda sana so tunacheza sana,
Kuna ladha flan hiv ujue ukiwa unacheza nae mama watt, hahahaha [emoji23][emoji28]

Mnaweza wekeana challenge....ukimfunga atafanya kitu flani....all in all its all about enjoying oneselves nd having fun.

Jaribu chief, kama uliweza kumtongoza akakukubalia huwezi kushindwa kumfanya apende video game.[emoji41]
Mkuu mm sipendi geme nyingne tofauti na mpira ata game zingne cjawahi zi play

Labda asubiri nimalizie master league yangu na sjui itaisha Lin.
 
Duuuh.!! Si ajabu hapo atakua anaomba hyo Console/Pc iungue....[emoji23][emoji28][emoji23]

Ngoja mm niendelee kumfundisha huyu wa kwangu kucheza game na yeye.
 
Console haiungui ng'oo acha nikomae kivyangu mm na washkaji tu kukibinya
 
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji1] kama stoo vile.

-Silasc-
 
Back
Top Bottom