Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Tuache kupenda kulala, laleni kwenye mabench ili muamke mapema mkaingize kodi tukomboe pangaboi letu
 
Nice. Hiyo stage sijaifikia ila naitamani. Najitahidi chumba changu kiwe kisafi napenda vitu white mashuka blanket hili nimeweza. Dah kuna siku natandika afu nalala mwenyewe natamani dah mda utafika nisifiwe?

Mungu nipe uzima nifikie hiyo stage dah hivyo vitu vinavutia. Asante kwa mada.
 
Mudy S.A.W mbakaji wa mtoto Aisha alipewa sumu na mchepuko wake yule wa kiyahudi.
Hao wanaingiaje kwenye uzi huu jamani, acheni kuchafua hali ya hewa
 
Hizi picha umechanganya za sehemu tofauti ila mimi nimegundua umesema unavyopendaga,ila sana sana hapo ni Kitanda kizuri na godoro zuri,mito,kabati,sehemu ya kuweka kitabu nikimaliza kusoma na biblia yangu ikae hapo usiku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom