Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Mtoa mada nilitegemea chumba kiwe kile kile alafu vyote ulivyovitaja vimo nione inakuwa stoo,hall au chumba but si hivyo.
 
Sijui nisemaje naipenda tu. Ina utulivu fulani hivi amazing.
Okey, kama kwako ina utulivu basi haijalishi wengine wanaichukuliaje. Rangi huwa zinazungumza, kwahiyo vile inazungumza nawe ndio muhimu.
 
Okey, kama kwako ina utulivu basi haijalishi wengine wanaichukuliaje. Rangi huwa zinazungumza, kwahiyo vile inazungumza nawe ndio muhimu.
Wewe rangi inakupa picha gani?
 
Hii ninayoipenda mimi.....light charcoal
Inanipa picha ya simanzi, huzuni,upweke.....na vitu kama hivyo.

Ndio maana nikakwambia inategemea vile rangi inaongea nawe, ndio maana unaweza shangaa mtu kupaka rangi fulani, kumbe kwake ina maana tofauti kabisa.
 
Aisee....naipenda sana, sipendi bright colors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…